Monday, February 17, 2014

UTATA MWINGINE WAJITOKEZA KWA ROSE MUHANDO..

By Jimmy  |  1:34 PM No comments

  Uncle Jimmy & Rose Muhando.

Wiki mbili zilizopita kupitia kwenye mitandao ya kijamii,Tv,magazeti pendwa malikia wa muziki wa injili Rose muhando alituhumiwa kufanya utapeli wa shilingi milioni 6....nyuma ya skendo hiyo yameibuka mengine kupitia kwenye facebook kuhusiana na wimbo wake mpya (WOLOLO) mashabiki wake pamoja na wadau mbalimbali walitaka kufahamu maana ya "Wololo" yalizuka maswali mengi yasiyo na majibu ya neno hilo na kupelekea kila mtu mwenye uwelewa wake kuandika kile anacho jisikia.Tarehe mbili mwezi wa pili nilifanya maojiano na malikia wa muziki wa injili Rose muhando,kupitia kwenye kipindi no 1 cha Gospel CHOMOZA katika mazungumzo yangu na Rose aliweza kunieleza maana halisi ya neno "Wololo".Kwa hisani ya Chomoza ya Clouds TV msikilize mwenye hapo chini mdau wangu.

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP