Thursday, February 27, 2014

MDAU WANGU ZIKO PICHA 5 ZA BEHIND THE SCENE ZA UTENGENGENEZAJI WA VIDEO YA 24ELDERS.

By Jimmy  |  11:10 AM No comments

 Kwa mara ya kwanza niliposikia wimbo wa 24 elders "NIKUONE" nilikua na swahiba wangu Samuel Sasali.Niliusikiliza zaidi ya mara kumi sikuuchoka,kilicho ni vutia zaidi katika wimbo huo ni kitendo cha wao kumshirikisha Pastor Emmanuel Ushindi.Emmanuel Ushindi ni moja kati ya waimbaji wenye mashahiri yenye
shule na falsafa ya ajabu.Kwa hisani ya Chomoza ya Clouds TV tazama picha 5 za behind the scene za utengenezaji wa video ya wimbo huu ilivyokua pamoja na Audio ya "Nikuone"
Mdau wangu unaweza kuingia kwenye youtube ukaangalia video ya wimbo huu waliofanya na kampuni ya maxton video kwa gharama ya shilingi laki tano huku audio wakiwa wamefanya studio za  Igwe production kwa shilingi laki moja.Wape support yako mdau wangu

Chiza on set..
Taratibuu kitu cha rumba!!

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP