Saturday, February 22, 2014

Elimika kupitia http://apostledarmacy.blogspot.com/

By Unknown  |  11:46 PM No comments

Pamoja Na tovuti mbalimbali za Elimu

 

 

Wanafunzi sasa waweza kusoma kwa kupitia tovuti mbalimbali za kielimu 
Uongozi wa http://apostledarmacy.blogspot.com/ Kupitia Mkurugenzi Mtendaji wa blog hiyo 
Bw,Anthony Damas , (social Engineer) leo  umefanya link na tovuti pamoja na blog za elimu.
Hii ni moja ya juhudi ya kuvipa vipaombele ya sera ya Matokeo Makubwa Sasa (Big Result Now) katika secta ya Elimu 

 

Kwa Wanafunzi wa Shule za Sekondari na vyuo vikuu na taasisi mbalimbali za elimu  sasa kupitia blog ya http://apostledarmacy.blogspot.com/ Imeanzisha link za blog za kielimu  pamoja na website.

 Lengo la kuuanzisha  ku link na blog pamoja na tovuti za elimu  ni kuongeza wigo wa sekta ya elimu kupitia blogs na mitandao ya kijamii. Ambapo ni kwa faida ya kizazi cha leo na cha baadaye.

Pia ni kuendana na mfumo wa dunia pamoja na mabadiliko ya sayansi na teknolojia  ambayo yanachangia kwa kiasi kikubwa kukuwa kwa Elimu.

 Kupitia  tovuti mbalimbali za kielimu zinatasaidia sana kizazi hiki cha leo.

Kupitia http://apostledarmacy.blogspot.com/ kuna bahadhi ya link ambazo zinapatikana ambazo ni ;


Author: Unknown

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP