Thursday, December 26, 2013

PICHA 26 ZA MAPOKEZI YA SOLLY MAHLANGU,

By Jimmy  |  9:23 PM No comments



SOLLY MAHLANGU mara baada ya kuwasili kitika uwanja wa Taifa tayari kwa tamasha liloandaliwa na Msama Promotions, alipokelewa na mapokezi ya aina yake.
Kwa mara ya kwanza nchini Tanzani kampuni ya Msama Promotions imeweza kufanya mapokezi ya kimatifa katika tansinia ya Muziki wa njili hapa nchini, mwimbaji SOLLY MAHLANGU alipokelewa na kuletwa uwanjani kwa msafara uliongozwa na pikipiki
ya Police zikifuatiwa na magari aina ya Benz za kisasa kabisa, na kuonyesha ubora mkubwa sana katika kuwapokea wageni wa Kimataifa.
Pongezi nyingi kwa wakazi Dar es Salaam wale ambao wanapenda kukubali na kuhudhuria matamasha yanayofanywa hapa nchini hasa ya Kiroho, pia pongezi nyingi sana kwa Msana Promotions.
SOLLY MAHLANGU akiwa katika umbi wa watu mashuhuri katika uwanja wa Taifa (VIP)


Waitikiaji wa mwimbaji SOLLY MAHLANGU wakielekea jukwaani tayari kwa tamasha.
Manager wa SOLLY MAHLANGU

Akielekea jukwaaani



Kitu cha Obrigadooooooooooooo
Twende sawa na SOLLY MAHLANGU

Kwa utukufu wa Jehova, back vocal wa SOLLY MAHLANGU wakifanya yao



Nyomiiiiiiiiiiiiii @ Christimas




Chezea Raymond Jackson, hapo akienda sawa na Wahambanat wa SOLLY MAHLANGU


Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP