Thursday, December 5, 2013

KAMA UNASUBIRI KUOLEWA,KUOA,KURUDISHWA KAZINI,KUPANDISHWA CHEO,CHUKUA DAKIKA ZAKO TANO KUSILIZA WIMBO HUU.

By Jimmy  |  11:07 AM No comments

Sio kila muimbaji anayefanya muziki wa injili anaweza kupenya kwenye masikio yako nakufanya kila unapo kaa unakumbuka tungo zake,leo ninayo sababu kubwa kuweka wimbo huu wa Aman Issayah Kapama kwakua mashahiri ya wimbo wake yananipa muda wakumsubiri Bwana afanye kwa wakati wake kama wasubirivyo Upendo Benson,Prosper Alfred Mwakitalima,Renee Lyatuu,Ezekiel Zachary,Tumaini Mwanja,Fred Msungu,Jeddy DC,Claire Kolle,Lister Kulanga,Ambwene Michael pamoja na kijana machachari Silas Mbise...kwa mara ya kwanza Amani Kapama alipo nipatia wimbo huu tulikua wote studio ya Shekina iliyopo sinza karibu na chuo cha Ustawi wa jamii.
Sikua na araka ya kusikiliza record hii kwakua nilijua itakua ya kawaida kwakua mara nyingi upokea nyimbo za waimbaji wengi hivyo chache huwa nzuri na baadhi huwa za kawaida....kwa kijana Aman Issayah Kapama ilikua tofauti kwakua kila nilipokua nikiusikiliza ukikaribia kuisha sikuacha kuurudisha tena na tena na kuendelea kuusikiliza.Mdau wangu wa nguvu chukua dakika zako tano na sekunde sita kusikiliza wimbo huu
(Kwa wakati wake)
Aman Issayah Kamapa.Sikiliza wimbo huo hapo chini kwa hisani ya uncle Jimmy.

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP