Friday, December 6, 2013

JUMAPILI YA TAREHE 8/12/2013 KWAYA YA KIJITONYAMA KUFANYA TAMASHA LA JUBILEE YA MIAKA 25.

By Jimmy  |  2:03 PM No comments

Viongozi wa kwaya ya Kijitonyama wakiongea mbele ya waandishi wa habari.

Mwenyekiti wa Kwaya ya Kijitonyama Uinjilisti Mr Emmanuel a.k.a Mc Foma Foma akiongea na vyombo vya habari leo.

 Kwaya ya Kijitonyama Uinjilisti leo wameongea na vyombo vya habari na kueleza jinsi walivyo jipanga kwenye tamasha la kusherekea jubilee ya miaka 25 ya kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama.Tamasha hilo la aina yake linatarajiwa kufanyika J/pili ya tarehe 8/12/2013 K.K.K.T Usharika wa Kijitonyama kuanzia saa 7 mchana hadi saa 12 jioni.Kwa mujibu wa katibu maandalizi mr Onai ameiyeleza blog tamasha hilo litashirikiana na Kwaya ya Tumain St.James kutoka Arusha na Kwaya zote za K.K.K.T Kijitonyama,pia waimbaji binafsi wata kuwepo pamoja na vikundi vya burudani zingine.
Tamasha hili hakuna kiingilio ni BUREE!!

Tazama video ya Kijitonyama wakiimba mbele ya vyombo vya habari leo

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP