Tuesday, November 26, 2013

TAZAMA VIDEO YA CHRISTINA SHUSHO ILIYOLETA MJADALA MKUBWA FACEBOOK BAADA YA EVENT YAKE KUFANYIKA.

By Jimmy  |  10:07 AM No comments

  • Leah Ayoub Nice one
    via 
  • Danny Big-rube Silandah Njema sana

  • Reen Mmari hahahaaaaaaaaaaa,,, ilikua balaa

  • Gladness MiakaElfu Elijah Ama kweli utukufu

  • Bonnie Prince Nzogere Hahahahaaa....miziki ya nyumbani!!

  • Charity Lous kuna tofauti gani na ngwasuma?

  • Rick Jeph van Rickbells Tofauti ipo.... hapo watu wanamtukuza Mungu ngwasuma watu wanaimba nyimbo za kidunia... ila Music Melody ni moja

  • Rick Jeph van Rickbells Charity Lous

  • Charity Lous mimi naongelea style za kushambulia jukwaa

  • Mwakalindile Noel Tofauti ipo hata uchezaji uko kiheshima na hakuna alievaa hovyohovyo!

  • Rick Jeph van Rickbells Ni njema sana Charity Lous.... hazina madhara hizo my dear

  • Jeddy Dc tofauti yake ipo sehemu moja tu! tunapokoka hatubadilishi style ya kucheza wala style ya melody but tunabadilisha tu yule tunaye mchezea,kama tulicheza kwa kutojua tumchezeaye huko dunia ani lakinni sasa we dance the same style but to God

  • Ritha Mmbando yaani nilitaka kuandamana kwa kukosa huu mwendo..daaaah hatari sanaaaaa

  • Fred Msungu Hatare sanaaaaa nilikusikia unavolalamika

  • Ritha Mmbando Yaani hapo ndo utamu wa tamasha ulinoga zaidii..Mubarikiwe kwa kuskia maombi yetu maana Silas Mbise alikuwa ashaandaa bango...Fred Msungu

  • Yohana MaGembe hahahahahha uyo apo mwisho sio Fred Msungu kweliiii....?

  • Fred Msungu Atakua mwenyewe..hata mimi kama namfananisha vileee

  • Yohana MaGembe ahahahaha mwaka huu nimekosa mengi

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP