Tuesday, November 19, 2013

KAMA KUNA MTOKO UMEPAGA KUTOKA WEEKEND HII BASI HUU UNAKUHU MDAU WANGU

By Jimmy  |  11:29 AM No comments

Kama umepanga kutoka outing na marafiki zako this weekend basi huu ni mto wa nguvu mdau wangu...Christina Shusho anategemea kufanya tamasha la Live record akishirikiana na waimbaji wa kweli na wenye uwezo mkubwa.Moja ya vitu ambavyo upaswi kukosa mdau wangu...ni collabo la Bro Joshua Mlelwa na Christina Shusho ambaye mie binafsi nawa kubali sana .Br Joshua aling'ara saana akiwa na kundi la Upendo Group kabla haja simama kivyake pamoja na mkewe.
Huyu jamaa ananguvu ya ajabu saana awapo jukwaani he is very anointed...don't plan to miss this weekend Tarehe 24 pale CCC UPANGA,waimbaji wengine ambao watafanya collabo na Shusho ni Upendo Kilahiro na kundi la The Voice.
 
 
 

 

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP