Monday, November 25, 2013

CHUKUA MUDA WAKO KUTAZAMA VIDEO 2 ZA PROPHET TB JOSHUA,VIDEO MOJA 1 IKIWA NIKILE ALICHO TABIRI KIMBUNGA CHA UFILIPINO.

By Jimmy  |  10:28 AM No comments

Bado maswali mengi yametanda kwenye nchi za Afrika baada ya utabiri wa Tb Joshua juu ya kile kitakacho tokea kwa nchi moja wapo ya afrika mashariki kutekwa kwa raisi.Nia kubwa ya kuweka video hizi mbili mdau wangu ni kukumbusha kuomba kwaajili ya jambo hili,kwani tarehe 17/11/2013 Tb Joshua kupiti ibada yake alisema kwa mkazo mzito juu
ya kutokea kwa jambo hilo.....na kusema atafanya liwezekanalo kumtafuta kwa simu kiongozi wa nchi hiyo ili kumpa taarifa mapema.
Video hiyo hapo chini nikile alicho tabiri kuhusu kimbunga cha ufilipino.
Video 2 utabiri wa shambulio la kigaidi Kenya.

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP