Joel Lwaga na David Silomba
David Silomba akiwa na jezi ya utambulisho wa kundi la Glorious Worship Team.
Paul na David silomba ndani ya Mwanza.Mdau wangu habari kamili ya David Silomba kuami Glorious woship team soon blog itakujia na habari kamili stay tune!!
Wakiwa na David Silomba ndani ya Studio za Radio A live fm
David Silomba (kulia) akiwa na mke wa marehemu Askofu Moses Kulola
Glorious Team walitembelea kaburi la Shujaa wa Injili Askofu Moses kulola Jijini Mwanza.
0 comments: