Tuesday, October 29, 2013

MDAU WANGU HIZI HAPA PICHA SABA ZA MUIMBAJI FLORA MBASHA AKIHUDUMU KWENYE MKUTANO WA HUDUMA YA UFUFUO NA UZIMA.

By Jimmy  |  6:37 PM No comments

 Flora Mbasha akifanya kweli jukwaani
 Huduma ya ufufuo na Uzima iliyo chini ya Mch.Josephat Gwajima imeanza huduma ya mikutano kwa baadhi ya mikoa,miezi iliyopita ilikua Arusha na
baadaye Kilimanjaro ambapo maelefu ya watu walio jitokeza katika mikutano hiyo Mungu alionekana wazi baada ya kuwaponya wengi na watu kumpokea kristo.Ufufuo na Uzima inahamia Tanga kuanzia Tarehe 21 Nov. mpaka tarehe 01 Dec. 2013


Twende kaziii

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP