Ni Uzinduzi wa ndugu Levi Ngoy mmoja kati ya
waimbaji wa The Calvary band ambaye amefanya album yake itwayo 24/7 God
Lives yani Masaa 24 kwa siku 7 Mungu Anaishi.Uzinduzi utafanyika Tareh
03/11/2013 pale Kanisa la Calvary Kinondoni B mtaa wa maakama kwanzia
saa 7 mchana na kuendelea,itakua ni Live Performans.Mwezi wapili muimbaji Levi Ngoy anatarajia kufa tamasha kubwa atakalo shirikiana na baadhi ya waimbaji wakubwa wa
hapa Tz.Album imerecodiwa Shekina studio na videos imefanywa na kampuni ya The
Eagle View Pro chini ya Director Debro Gabriel .Usikosee!!
0 comments: