Gospel Singer Kenya Daddy Owen yupo location akifanya shooting ya wimbo wake mpya 'Kazi ya msalaba'akiwa amemshirikisha Danny GifT.Wiki iliyopita nilizungumza na Director wa Kenya J Blessing nakusema waimbaji wa kenya wako tayari kutoa pesa nyingi kutengeneza video zenye thamani kubwa ili kazi zao ziweze kupenya dunuani....ukitizama picha za behind the scenes utakubaliana na mimi mdau wangu.
So be prepared for this huge track mdau wangu
0 comments: