Monday, September 9, 2013

BAADA YA KUTUA TANZANIA MILCA KAKETE KUJA NA ALBAM MPYA YA DVD SOON.TIZAMA BEHIND THE SCENES YA UTENGENEZAJI WA VIDEO HIYO.

By Jimmy  |  4:42 AM No comments

Milca Kakete alianza huduma ya uimbaji akiwa bado mdogo sana,
wakati huo alikuwa shule ya msingi aliendelea kuimba hatimaye akajiunga na kwaya akiwa anaongoza nyimbo katika umri mdogo.
 Baadae aliendelea na hatimaye Mungu akapanua huduma yake na kuwa kiongozi wa kuabudu katika Kanisa.Akiendelea na huduma yake ya uimbaji Mungu akasema naye katika kuimba nyimbo za kuabudu ndipo alipo hamua kujikita zaidi.Milca ameweza kujipatia umaarufu kupitia nyimbo zake kama "NATAMANI KUFANANA NAWE" "NIFINYANGE" na nyingine nyingi.Kwa sasa Milca yupo Tanzania kwajili ya maandalizi ya albamu yake na hii ni behind the scenes mdau wangu.Endelea kufatilia blog itakujuza mengi kuhusu Milca Kakete.

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP