Thursday, May 2, 2013

KUTOKA CLOUDS TV CHUKUA MSIMU MPYA WA MWAKA 2013 KATIKA UZINDUZI WA VIPINDI VIPYA ESCAPEL 1.

By Jimmy  |  5:46 PM No comments

Mtangazaji wa show ya Cloud9 D-Andy na Programme manager wa Cloud TV Lee

Siku ya jana  Clouds TV ilikua ikikaribisha msimu mpya wa mwaka 2013.Katika live hiyo iliyohusisha vipindi vyote vya CloudsTV kutoka Hotel ya Escape1 iliyoko pembezoni mwa bahari ya hindi ndiko tukio nzima lilifanyika kuanzia majira ya saa 4 asubuhi hadi saa 4 usiku.
Viko vipindi vingi vinavyojulikana na vingine vipya vilivyo ingia katika msimu mpya wa 2013.Kama kawaida watangazaji wa Clouds TV walikwenda sawa wakionyesha msimu mpya na jinsi gani wamejipanga kufanya kweli kupitia Tv ya watu.Chomoza nikipindi kipya cha Gospel kinacho tazamiwa kuwa kipindi bora cha Gospel kwa mwaka huu,kwani ujio wake umekua  mzuri na wenye uwezo mkubwa kutamba kwenye TV yako kupitia Clouds TV.
 Kijana wangu mbishiii Samuel Sasali a.k.a Chomoza Mtaani.
Nikiwa mwenye furaha kubwa siku ya jana baada ya Chomoza kuingia kwenye msimu mpya kupitia Clouds TV. Kwa hisani ya watu wa chomoza mpendwa kua macho na kipindi hiki kuweza kujionea ubunifu wa hali ya juu katika kufanya mapinduzi ya Gospel
 
 Producer wa Clouds E na Bibi Bomba "Benny" katikati na Nickson George presenter wa D'Wikend Chat show
 Qhwiser wa Dwiked Chat Show
                            Antonio Nugaz wa Kambi Popote na Zamaradi Mketema wa Take1
 The Voice

 Msoma habari za michezo Wilberforce Ngoto
 
 Sakina Waliyoka mama wa dawa yao kutoka Ng'aring'ari
                                                        Mimi na Janet wa Ongea Na Janet
                                                                    Sakina Wa Lyoka
                                                                  Cameraman Mturi
                                                                      D'Wikend CHat show kazini
 Boss wa Radio Mr Sebastian Maganga na Doreen
 Mwana Dar es salaam "Musa Hussein" na Siza Daniel wa Clouds E
                                                 Wanafamilia wa Clouds TV wakipata msosi
                                              Masanja Mkandamizaji alikuja ku-show love Chomozaaa!!
DJ PQ
Team ya Chomoza

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP