Monday, February 18, 2013

LUGANO MWIGANEGE:Aweka albamu yake mtaani baada ya kufanya uzinduzi siku ya jana.

By Jimmy  |  4:42 PM No comments

Siku ya jana katika kanisa la Mito ya Baraka Mwanamuziki wa injili anayefahamika Lugano Mwiganege alifanya uzinduzi wa albam zake 2 zenye Jina la "Umenifanya Kuwa Nguzo" na ya pili ni "Umetukuka" Uzinduzi wa Albam hizo ulianza majira ya Saa 10 alasiri na kusindikizwa na Wanamuziki Jackson Benti, Ambwene Mwasongwe pamoja na Masanja Mkandamizaji.Mwanamuziki Huyo siku ya jana alikonga mioyo ya watu kwa kupiga muziki live kwa kiwango chakizuri.
Mwanamuziki wa Injili Lugano akiwa ameshikilia Albam zake baada ya kuzinduliwa na  Askofu Mwakiborwa siku ya jana
 Masanja alipo chukua sehemu ya Mc siku ya jana.
 Usiombe kukutana na Masanja sehemu anayo sherehesha.
Sijui tulikua tunazungumza nini hapa.......

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP