Thursday, February 28, 2013

LALA SALAMA ONESMO NGUSSA-Maziko ni Jumamosi Tegeta

By Jimmy  |  8:58 AM 1 comment

Mara ya mwisho Mungu alitukutanisha timu nzima ya Praise power kama sehemu ya undugu wetu uliokua katika maisha yetu ya kazi na familia.Niombe radhi kwa muonekano usio mzuri wa picha hizi,hapa ni mara ya mwisho kula na kufurahi na mpendwa wetu Onesmo Ngussa.
Ilikua siku ya utofauti sana kwani wale waliofanya kazi praise power kisha wakaondoka walikuja kujumuika pamoja kama familia moja.Nili mfahamu Onesmo Ngussa baada yakufanya kazi Praise power Radio,alikua anasifa yake ambayo akuna asiye ijuaa,popote utakapo kutana naye alikua very smart,mchangamfu,mwenye kujipenda.Sina lugha nzuri nitakayo muelezea ndugu yangu Onesomo Ngusa Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina la Bwana libarikiwe.
 Kulia ni Harris Kapiga,Tina Mtua,Erick Martin
 Kushoto Boniphace Magupa,Onesmo Ngussa,Victor Aron,Dp,Ana Nelson,Yusuph Magupa.
Kushoto ni Ikupa Ngao,Igokolo,Nice Tenga,Frida Ituwe na Kisaka.
 Kulia Harris Kapiga,Tina Mtua,Hudson Kamoga.
Kulia Boniphace Magupa,Onesmo Ngussa na Victor Aron.
R.I.P Bro Onesmo Ngussa we love you but God Love you more!!! we remember you

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

1 comment:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP