Friday, February 15, 2013

HIVI NDIVYO ILIVYOKUA VALENTINE DAY MBEZI GARDEN.

By Jimmy  |  7:52 PM No comments

Naomba kutanguliza samahani wadau wangu,toka jana kulikua na tatizo la Net hivyo imechelewesha shughuli ya habari hii kukufikia.Hili ndilo tukio lililo tokea siku ya jana katika siku ya wapendanao
Mama mchungaji Elizabeth kienda sawa na Tam Tam Band.

kama kawaida mwezi wa pili tarehe kumi na nne ni siku ya wapendanao, siku ya jana katika ukumbi wa mbezi garden kampuni ya grace product iliweza kuandaa event ya siku ya wapendanao .yapo mambo mengi yaliyojitokeza mazuri na wengi waliweza kuifurahia siku ya jana.Event hii ya valentine day iliongozwa na wanenaji watatu,( Professor mahalu mtalaamu wa sheria, Apostle Silvester na Pastor Ciasar,)Kama kawa Ma Mc wa events Uncle Jimmy na Joyce charz tulihakikisha shughuli nzima inakwenda sawa
 
Mzee wa Majeshi majeshi kama kawaida yake alifanya kweli
 
 Professor Mahalu akianza kufundisha historia ya valentine day ilipoanzia  na ilipotokea na kwa nini watu huikumbuka siku hii
Apostle sylivester aligonga nondo za nguvu  kila mmoja aliyekuwepo hakuacha kucheka.Yeye alizungumzia kwa nini ndoa nyingi hufa chumbani

Wadau wa praise power radio.
Hapa sijui tulikuwa tunazungumza nini mimi na mc mwenzangu.
Uliwadia wasaa wa kuuliza maswali kutoka kwa wadau.Professor mahalu akijibu maswali ya watu mbalimbali siku ya jana.

Mdau wa grace product akiuliza swali.



Pastor Ciasar akiwa na mwanae vannesa akifatilia jambo kwa umakini.






Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP