Thursday, January 31, 2013

ZIMEBAKI SIKU 2 KUELEKEA KWENYE UZINDUZI WA ALBAM YA JOHN LISU.HUWA MEDIA WANASEMA KILA KITU KIMEKAMILIKA.

By Jimmy  |  11:18 AM No comments

 Executive Director wa Huwa Media Jacob Mtalitinya
Kuelekea kwenye uzinduzi wa John Lisu wa kuweka wakfu albam yake ya (UKO HAPA) katika ukumbi wa CCC Upanga. Mkurugenzi wa Huwa Media ndiye anayesimamia event nzima ya John Lisu.Kwa mujibu wa Mr Jacob amesema kila kitu kimesha kamilika kuanzia Sound,Music pamoja na muonekano wa Ukumbi.Pia alitoa rai kwa watu wote kuwahi kwani nane kamili shughuli nzima itakua ikianza, hivyo kwa yule aliyezoea kuona event zingine zikichelewa hii imezingatia muda na wakati.
John Lisu.

Naye John Lisu kwa upande wake amesema shughuli nzima ya upande wake iko pouwa.Waimbaji wamefanya mazoezi ya kutosha hivyo mwenye shughuli ambaye ni (Yesu) anasubiri watu wakife siku hiyo ili aanze kazi yake.Haya ndio yalikua maneno ya Lisu nilipo zungumza naye siku ya leo.
Waimbaji watakao msindikiza John Lisu ni Pastor Safari Paul,Cosmas Chidumule,Glorious Celebration,Bomby Johnson,The Voice na Next Level.
Ni Tarehe 3/2/2012 katika ukumbi wa CCC Upanga kwa kiingilio cha sh 5000/=.Muda ni Saa nane (8) Mchana.

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP