Hakuna kitu kibaya katika Maisha kama kuzushiwa umekufa,siku ya jana kumezushwa jambo la uongo muimbaji wa mziki wa Injili Bahati Bukuku amekufa.Uzushi wa kifo ulikuwa ukienezwa kwa njia ya sms kupitia watu mbalimbali.Leo mchana nimeweza kuzungumza na Bahati Bukuku ambaye kwa sasa yuko mkoani Mbeya nakusema hajui ni nani amekuwa akivumisha habari za kifo.
Nikataka kujua zaidi kwa muimbaji huyu je anaugomvi na mtu au nini?Sikiliza hapa chini akizungumza na mimi muda mfupi uliopita.
0 comments: