Thursday, January 31, 2013

KWA WALE WAPENZI WA FRIENDS ON FRIDAY JIPANGE KUPATA VITU VIPYA KUTOKA BAND YA GLORIOUS CELEBRATION KESHO.

By Jimmy  |  12:31 PM No comments

Hapa ndiko wanako fanya mazoezi Glorious Celebration kwa sasa. 
 Kama kawaida leo the Blogger nilitembelea mazoezi ya Band ya Glorious Celebration ambao kwa sasa wako kwenye mazoezi ya albam yao mpya ikiwa wameachia nyimbo mbili kama utangulizi wa albam hiyo.Sababu kubwa ya mazoezi makali wanayofanya Glorious, ni kwamba watakuwa ndani ya Friends on Friday nok nok a.k.a Friends on Friday Vunja Ukimya.
Rais wa Band hii Emmanuel Mabisa amesema kuwa, kwa sasa wamejifua vizuri kuhakikisha kila atakayefika siku ya kesho anabaki na Historia ya siku hiyo.Ziko nyimbo mpya ambazo tumepanga kuziimba siku ya kesho kama zawadi kwa fans wa Friends on Friday.Don't plan to mis fof exposeeeeee! kesho Sinza Princes Hall.
 Mazoezi yakiendelea





Hawa vijana watatu nawakubali sana.Usikose kuwaona ndani ya Friends on Friday ijumaa ya kesho.

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP