Siku ya j/tatu kuelekea mkesha wa mwaka mpya karibia kila kona ya Tanzania kulikuwa na mkesha wa kuukaribisha mwaka mpya 2013.Mkoa wa Mwanza kupitia muunganiko wa makanisa yote ya mwanza yaliungana kwa pamoja na kuukaribisha mwaka 2013 katika kiwanja cha CCM KIRUMBA.Kama kawaida Blogger nilikuwepo kushuhudia tukio kubwa la kihistoria.Asikuambie mtu bwana,mkesha unaraazake hasa ukiwa umeandaliwa.
Kiongozi wa Mass Kwaya Adolph nzwalla akisisitiza jambo kabla ya kuanza kusifu.
Kama kawa tifuatifua akalianzisha mwenyewe
Kikundi kikiwa tayari kusifu
Askofu Nungwana wa makanisa ya AICT ndie aliye hubiri siku ya jana umuhimu wa kuupokea mwaka mpya na nguzo tano za Mungu.
Mama Nzwalla makini kufatilia jambo
Meza kuu wakifatilia jambo.
Mama Nzwalla makini kufatilia jambo
Meza kuu wakifatilia jambo.
Recho usingizi ukimzidi mwiliiii
Kitu nyomiiii.Hapa ndipo shangwe zakuupokea mwaka zilianza.
Meza kuu wakimshukuru Mungu.
Ma-Askofu wakipeana mikono heri ya mwaka 2013.
Shangweeeeeee!
Blogger nikiwa na Mtu wangu wa karibu Iren.
No comment Ester akiwa na Adolph
Kushoto Ester,Hellen na Adolph
Nani alikuambia wachaga hawajui kuimba.Dada langu la nguvu Happy Masawe akiongoza Mass kwaya mkesha wa mwaka mpya 2013.
0 comments: