Leo kupitia Hotel ya Wanyama iliyoko Sinza Mori Kongamano la waimbaji wa Muziki wa Injili lililo andaliwa na chama cha Muziki wa Injili Tanzania "CHAMUTA" limefanyika likiwa na lengo la kutambulisha viongozi wapya wa chama cha muziki wa Injili Tanzania.
Chama hiki kinaundwa na Mwanamuziki mmoja yaani solo artist,vikundi,umoja wa Makundi yote ya muziki ya hapa Tanzania.Pia kina wahusisha watangazaji wa Radio za Christian na wadau wa muziki wa injili.
Kwa sasa chama kinaundwa na viongozi (1)Addo November Rais/Mwenyekiti. (2)Mchungaji Joseph Malumbu-Makamu.(3)David Robert Mwamsojo-Katibu.(4)Stelle Joel-Katibu mwenezi.(5)John Shabani-Naibu Mwenezi.(6)Upendo Kilahilo-Mweka Hazina.
Lulyalya Sayi Meneja wa LAPF Kanda ya Mashariki akieleza umuhimu wa mfuko wa LAPF
Katika kongamano hilo liliudhuriwa na Mfuko wa pensheni wa LAPF.Mfuko huu ulizungumzia umuhimu kwa waimbaji wa muziki wa injili kujiunga nao kama sehemu mojawapo ya wao kuwekeza katika maisha ya baadae,pia kutoa fursa kwao kujipatia mikopo ya nyumba na kuwekeza katika akiba yao ya baadae.
Katika kongamano hilo liliudhuriwa na Mfuko wa pensheni wa LAPF.Mfuko huu ulizungumzia umuhimu kwa waimbaji wa muziki wa injili kujiunga nao kama sehemu mojawapo ya wao kuwekeza katika maisha ya baadae,pia kutoa fursa kwao kujipatia mikopo ya nyumba na kuwekeza katika akiba yao ya baadae.
Bibie Upendo Kilahilo akifatilia jambo
Wadau mbalimbali wa Muziki wa Injili
Mama wa Dunia aina huruma Bahati Bukuku.
Maswahiba wa wili kwa makini wakifatilia jambo
Muimbaji Edson mzee wa Rehema na Neema.
Mchungaji Abel Orgenes alikuwepo.
John Shabani-Naibu Mwenezi.
King Chavala kama kawaida alikuwepo
Abubakari Ndwaka Meneja Mafao wa LAPF.
Mzee makasi kwa makini akinot jambo
Kushoto ni Mkurugenzi wa Grace Product akiwa na Rais wa chama cha wasani Addo November.
Mi nadhani huyo mnayemwita mama wa dunia muwe mnamshauri jinsi ya kujisitiri mbele za watu. Maana haiwezekani kuvaa mavazi yanayomuonyesha mwili wake mbele ya umma wa watu, ikiwa yeye ndio mfano na kioo cha jamii...!!!
ReplyDelete