Friday, December 28, 2012

KWA WALE MNAOPENDA UTALII WA NDANI, HII INAWAHUSU WATU WANGU WA MWANZA

By Jimmy  |  5:28 PM No comments

 Katika vitu ambavyo na vipenda ni utalii wa ndani wa nchi yangu.Mwezi wa sita nilipokuja Mwanza nilitembelea Zoo hii na safari hii nimerudi tena.Hakuna kilichoongezeka sana, zaidi ni kobe mwenye umri wa miaka mingi wanaosadikika kuwa wanne tu kwa Tanzania nzima wenye umri mkubwa.

Kobe hawa inasemekana wana uwezo wa kuishi miaka mia mbili hamsini hadi mia mbili sitini.Leo nikiwa na Mtu wangu wa karibu Irene tuliamua kutembelea utalii wetu wa ndani.Twende kazi na baadhi ya picha.
Irene 
From Arusha to Mwanza Mamii Irene.

 Mbweha

 
 Nikipewa maelezo na mtaalamu wa Zoo.
 Nilikuwa sitambui kwamba kuna aina mbili za Fisi, fisi wa madoadoa na fisi wa miraba.Kawaida ya Fisi wa madoa huwa wanaogopa binadamu.Lakini Fisi wa miraba usisogee karibu yake.
Fisi ndiye mnyama anaekadiriwa kuwa na taya ngumu kuliko wanyama wote.

PICHA TANO ZA KOBE MWENYE UMRI WA MIAKA 150.




Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP