Mkurugenzi wa Bank ya wanawake Tanzania (TWB) Margareth Mattaba Chacha ndie aliyekuwa mgeni rasmi.
Kikundi cha Precious Group kiliundwa January 2010 waki watu 6,June 2010 kiliongezeka nakufikia watu 10 na hatimae January 2011 wakaongezeka wengine na kufikia 30 ambao wapo mpaka leo hii. Kikundi kilisajiliwa mwaka 2010 chini ya Sheria za Msajili wa Vyama na Makampuni(BRELA)
Dhumuni la kuanzishwa PRECIOUS ni kusaidiana katika shida na Raha,kuwezeshana
wenyewe kwa wenyewe na kuwa na hali nzuri kiuchumi kwa kujifunza uwekaji wa
akiba ndogondogo na pia kupeana mikopo midogomidogo yenye riba na masharti
na fu
Kikundi cha Precious Group kiliundwa January 2010 waki watu 6,June 2010 kiliongezeka nakufikia watu 10 na hatimae January 2011 wakaongezeka wengine na kufikia 30 ambao wapo mpaka leo hii. Kikundi kilisajiliwa mwaka 2010 chini ya Sheria za Msajili wa Vyama na Makampuni(BRELA)
MC
Kikundi cha Precious Group kimekuwa kikipata mapato kwa njia ya wao wenyewe kwa wenyewe kujichangisha na kisha kujiwekea akiba kila mwezi,faini mbalimbali,ambapo fedha hizi zimekuwa ziki wasaidia kupeana mikopo midogo midogo ya muda mfupi kwa riba ndogo na masharti nafuu,pia wame kuwa wakichangia mfuko wa kusaidiana kwenye shida na raha.

Mbali na vyanzo hivyo kikundi hiki kina Account ya Mtaji ambayo kwa sasa ina Mil 20,na
lengo lao ni kufikia Mil 100 ifikapo Mwaka 2015.
Mwenyekiti wa Kikundi cha akina dada cha Precious Group 2012
Agnes Shayo hizaakizungumza na kukaribisha wageni katika hafla hiyo.
Mc akinipa maelekezo kidogo
Christina Nyerere mshauri wa kikundi cha Precious Group akisoma risala mbele ya mgeni rasmi katika hafla hiyo.
Magreth Chacha ambaye ni Mkurugenzi wa benki ya wanawake (TWB)
akijadiliana jambo na Mweka hazina msaidizi wa kikundi hicho katika
hafla hiyo, kulia ni Mwenyekiti wa Kikundi cha akina dada cha Precious
Group 2012 Agnes Shayo
Wakiburudika na muziki laini baada ya uzinduzi
Mama tunakupenda pokea zawadi.
Magreth Chacha ambaye ni Mkurugenzi wa benki ya wanawake (TWB)
akiwapa nasaha wanakikundi wa Precious Group mara baada ya kupokea zawadi.
0 comments: