Friday, December 28, 2012

HUYU NDIE MSANI ANAEFANYA POUWA NCHINI KENYA KWENYE MZIKI WA GOSPEL HIP HOP.

By Jimmy  |  11:56 AM No comments

 Willy Paul ni msanii wa muziki wa injili aliyejizolea umaarufu kwa kipindi cha muda mfupi tu.
Akijulikana kama muimbaji mwenye uthubutu na mbunifu katika historia ya muziki wa injili nchini Kenya.Willy Paul ana ubunifu zaidi wa kuinua imani yako.
Kijana wa Hip hop Willy Poul
  
Katika wimbo wake mpya Mpenzi, Amekuwa Mshindi wa Tuzo za Groove 2012 kipengele cha “Most Promising Artiste”na pia akiwa mshindi wa Tuzo za Mwafaka 2012 mara mbili,Willy anaendelea kushikilia staili yake ya kurap huku akiwa anawakimbiza waimbaji wengi wa Kenya. Nyimbo zake nyingine ni pamoja na Rabuka na Sitolia aliomshirikisha muimbaji Gliria Muliro ambao pia ulichukua tuzo.
Willy Paul alipochukua Tuzo za Groove 2012.

Sitolia ni wimbo ambao umeuza kwa kiwango kikubwa sana na ukiwa chaguo la wengi kwenye vituo vya redio nchini Kenya.

Tizama Video yake ya (Mpenzi) iliyo mtangaza

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP