Tuesday, December 25, 2012

HUDUMA YA HUZIMA KATIKA NENO NA IBADA YA CHRISTMAS.

By Jimmy  |  2:52 PM No comments

Leo katika Huduma ya Huzima Katika Neno ilifanyika ibada ya Christmas kama ishara ya kuzaliwa Bwana Yesu.Huduma ya huzima katika neno ipo Mbezi maramba mawili ikiongozwa na Mtume Moses Kingu.Picha 11 za ibada hiyo.
Praise ya Huzima Katika Neno ikiongoza ibada.
 

 
My Stovia 
Wakati wa Sifa,Kijana Petar akiongoza.
 Mtume Moses Kingu akihubiri.
 Hema la Bwana.
 Mkongwe Neema Buchadi

 Kushoto Pastor Bupe Kingu na Pastor Pudensiana.
 Dada langu la Nguvu Ruth Kalonga.Hapa sijui alikuwa akimchola nini huyu Malaika wa Bwana.
 Pastor Merry macho kodoo!!




Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP