Sunday, November 11, 2012

THREE MOTHERS HAKUNAGAAAAAAA!

By Jimmy  |  11:44 PM No comments

Ikiwa ni Episod II ya Three Mather katika Hotel ya Atriums iliyoko Sinza Afrika Sana imekuwa kubwa kuliko.Kama kawaida Blog ilifika eneo la tukio nakuona umati wa Mabinti wakiwa wamependeza kweli kweli huku sound ikiwa ikitowa taratibu mziki laini.

Kongamano hili lilikuwa na lengo lakumpatia elimu mwanamke ili aweze kujitambua Kiuchumi,Kielimu na hata kujua mapenzi ya Mungu na namna ya kumtumikia Mungu.Biblia inasema "Kama misingi ikiharibika mwenye haki wangu atafanya nini"

Mabinti ni akina Mama wajao,hawa wasipomjua Mungu mapema hakuta weza kuwa na familia bora hapo baadae,lazima wapewe elimu ya kimungu namna gani wanaweza kuwa mfano bora wa familia zijazo.Apostle Silverstar ambae alikuwa mnenaji wa kwanza katika Kongamano hili alisema akina Mama wengi wanasahau kuwa wao ndio waangalizi waku kwahiyo mama asipopata mafundisho sahihi hatoweza kusimamia familia yake,mipango yote ya uwezeshaji kiuchumi kwa familia hautatimia,ndoa hazitakuwa imara.

Mwisho alisemakuwa "Biblia inasema mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe"tumechoka kusikia uharibifu kwenye ndoa na familia,ndio maana Kongamano hili limeandaliwa.

Twende sawa na matukio ya picha mtu wangu wa karibu
Mchungaji Maxmilian Machumu akiwa na Mama wa Omoyo
 

 
Msani Kemmy akiwa makini kufatilia jambo,kulia ni Mch Maxmilian.
 
Ufunguzi wa Kongamono hili ulianza kwa Apostle Silvester ambae yeye alitowa nondo za hatari kiasi cha mabinti kucheka na kubaki wakimtukuza Bwana.Laiti ungejua alichokuwa akisema Apostle Silvester kwa hii Kanga aliyo jifunika,mbavu una mtu wangu.
 
Akiweka sawa madesa.
 
  Dr Kweka kutoka Hospital ya Muhimbili akitowa Nondo za Saratani ya Matiti kwakina  Mama.
 

 
Muimbaji Bahati Bukuku akifundisha Somo liitwalo "Ukarimu wenye faida".
Mch Elizabeth
 Mkurugenzi wa Grace Product akitowa maelezo mafupi kuhusu bidha zake za Mafuta,Losheni,pamoja na Shampuu.
Unanijuaaa!!
 Mc Tina Mtu akieleza jambo
Zawadi zikitolewa kwa Mabinti 20 wa kwanza waliofika.Ikiwa ni udhamini wa Grace Product.
 Weweeeeee
 
 Majeshi majeshi,Majeshi ya Bwana.Mch Maxmilian akienda sawa na Three Mathes
 
 Hili pozi la uimbaji kwa Mchungaji Maxmilian kwangu ndilo pozi la kufunga mwaka.
 
 Watu mbalimbali wakienda sawa na Mchungaji Maxmilian.
Camer man Kenneth akiakikisha apitwi na tukio.

 Samson Kabata a.k.a mkimya ndie alie zamini vifaa vyote vya Mziki.

Bahati Bukuku akizungukwa na umati wa watu huku simu zikifanya kazi ya kumbukumbu.

 Wachaweeeee!! Listar Kulanga.
Kitu kwaito
Mama wa Omoyo Jen Miso akifanya kweli
Watu peopleeooooooooo!!

 Utatutaka tumetokelezea

 The three Mathers

 Bhaaaaaas!!!!!
 Hatuvumi lakini tumo!!!!!!!!!!
Raha najipa mwenyewe.

Kw mujibu wa Msemaji wa Three Mather Joyce Charz amesema Kongamano hili ni Mwanzo wa Makongamano mengine yatakayo fata katika Mkoa wa Morogoro na Arusha.Nia yetu nikuwafikia mabinti na wanawake.
Pia wanapenda kuwashukuru wafatao Apostle Silvesta,Elizabeth Kilili,Mch Maxmilian Machumu,Dr Kweka kutoka Hospital ya Muhimbili,Wazamini wa Nguvu Grace Product,Gilgal Entetainment,Tanzania Social Economic pamoja na Uncle Jimmy.

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP