Tuesday, November 13, 2012

EMMANUEL MBASHA AVUNJA UKIMYA.AJA NA RECORD YAKE MPYA YA HIP HOP GOSPEL.

By Jimmy  |  9:47 PM No comments

Emmanuel Mbasha a.k.a wa Ulaya kama watu walivyo mpachika jina hilo.Leo kupitia Sifa moto ya Praise Power Fm ameachia ngoma yake mpya ya 'Nyamaza' yenye miondoko ya Gospel Hi Hop.Kwa mujibu wa Mbasha amesema huu ni ujio wa Albam yake mpya ambao amefanya kwenye Studio yake Frame Studio.
Nikiwa na Emmanuel Mbasha

Nisikuchoshe kwa maneno mengi mtu wangu wa karibu.Chukua dakika zako kadha kusikiliza Record hii kisha niachie maoni yako.
Exclusive na Uncle Jimmy.

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP