Msafara wa pikipiki ukiwa umewapokea Flora Mbasha na Emmanuel Mbasha wakati wametua nchini Kongo.Flora mbasha alifanya show ya nguvu katika kitongoji cha "Goma" ambapo maelfu ya watu walijitokeza nakuvunja rekodi kwa wingi wa watu.
E-mail Newsletter
Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.
0 comments: