Monday, October 1, 2012

KAMA ULIKUWA UWAJUI CHRISTIAN BLOGGERS TANZANIA HAWA HAPA.

By Jimmy  |  9:16 AM No comments

Siku ya J/mosi ya Tarehe 30/9/2012 Christian Blogges walikutana kwa pamoja kujadili mambo mbalimbali yausio kazi ya Blogger pamoja nakupata Rais,Katibu na Mhazini na Mshauri wa Blogger.Moja kati ya swala lililo chukua muda mrefu ni Blogger kupata Mshauri/Mlezi atakae kuwa na passion na Blogs,kutupa ushauri pale Blogger anapokuwa amekosea kwa sehemu flani ili kuhakikisha mwili wa kristo unajengwa katika misingi mizuri.
Blogges
 
Baada ya kuvutana sana Bloggers walipendekeza majina takribani ma-5 na katika majina hayo yalipitishwa majina (2) Pastor Deogratius Lubala na Chriss Mauki kama mshauri wetu.

Kwa upande wa Rais,Katibu na Mhazini Bloggers walipendekeza majina ya fatayo.

RAIS
a)Marry Damian
b)Martin Malechela
c)Victor Nivox

KATIBU
a)Samuel Sasali
b)Faraja Mndeme
c)Tunu Bashemela

MHUZINI
a)James Temu
b)Firimina Matee
c)Eric Brighton

Mwisho kabisa uchaguzi wa viongozi hawa wanao tarajiwa utafanyika kwa utaratibu ufatao.Imeundwa tume ya watu wa Tatu 1)Musa Biligeya 2)Prosper Mwakitalima pamoja na Blogger Kyaruzi atakae simamia zoezi zima la kuhesabu kura.

Upigaji wa kura utafanyika 0NLINE kisha tarehe 13/10/2012 tume itatangaza matokeo ya kura ambapo watakuwa na Bloggers wote siku hiyo.

  PICHA 6 ZA BLOGGER WAKIWA KATIKA KIKAO SIKU YA J/MOSI.






Mungu ibariki Tanzania Mungu wa bariki Christian Bloggers


Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP