Friday, October 19, 2012

HIZI NDIZO SCENE ZA MWISHO ZA BEST CAPLE.

By Jimmy  |  6:48 AM No comments

Natoa shukrani zangu za zati kwa mwandahaji wa Filamu hii ya (Best Caple.) Filamu hii nathubutu kusema ni Filamu itakayoleta mabadiliko katika tasinia ya Filamu za Christian.Uzuri wa Filamu hii unabebwa na Location,Wasani walioshiriki,Vifa vilivyotumika pamoja na madhari nzuri za jiji la Dar es salaam.

Filamu hii ya Best Caple ni Filamu iliyozingatia viwango vya Neno hususani katika kuhakikisha kila atakae pata nakala yake pale itakapoingia Madukani aweze kutambua ukuu wa Mungu na kubadili maisha ya mtu mmoja aliye kata tama katika maisha yake.

Namshukuru Dada yangu Kemmy kwa kunipa nafasi kubwa katika kuakikisha mdogo mdogo sanaa yetu inakubalika popote tuendako kama wasani tuliookoka.Mungu ibariki kazi ya vipawa vyetu ipo siku wataelewa.
Kabla kazi kuanza hii ni sehemu ya maombi tukimuomba Roho mtakatifu aanze na sisi
On set
Crew ikiwa kazini
 
Camer Man Baraka akifanya kweli
 

 

Hapa sijui nilikuwa nasubiri nini vileeee.....
 Nikiwa na Pacho Mwamba
 

Kemmy akiwa na wajina wangu Pastor Jimmy.
 Hasira ya kumuona Mchungaji aliye ingia ndani kwake.

 

Kikao cha wajasiliamali.
Nikisikiliza maongezi ya baadhi ya wenzangu.Hapa niligeuka mtu wa Sound
 
Nikiwa na Muongozaji wa Filamu hii ya Best Caple
 
Ehee Mdogo mdogo mtaelewa.
Kushoto kwangu Camer man Junior kulia kwangu Muongozaji wa Filamu hii.























Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP