Monday, October 15, 2012

HIVI NDIVYO IBADA YA LIVING WATER MAKUTI KAWE ILIVYO MALIZIKA SIKU YA JANA.

By Jimmy  |  7:20 AM No comments

Siku ya jana katika kanisa la Living Water Makuti Kawe,linalo ongozwa na Apostle Onesmo Ndegi ilikuwa ni ibada ya Live kupitia vituo viwili vya Radio (Praise Power na Wapo Radio) vilivyo ungana katika ibada ya kuhitimisha semina ya jinsi ya kumiliki Baraka za Ibrahim.

Apostle Ndegi akiwa ndie mnenaji wa ibada hiyo alisema kuwa kibiblia Ibrahm alirithi vitu vingi katika uwahi wake.Mf-Afya njema,Mifugo pamoja na utajiri aliokuwa nao ulitokana na utowaji wake,Ukiishi hivyo lazima utarithi baraka za Ibrahm.

Hitimisho la Semina  hiyo iliambatana na shuhuda katika kile watu walichokipata katika semina hiyo.
Mtume Onesmo Ndegi akieleza jambo kwa msisitizo akiwa na watu wanaotoa shuhuda baada ya Mungu kuwaponya
Mama aliyebeba mtoto nyuma ya Apostle Onesmo Ndegi alitowa hushuhuda wakupata Mtoto baada ya kukaa kwa miaka mingi bila kupata ujauzito.

 Kwa makini watu wakifatilia ibada ya jana

Umati wa watu ulio udhuria ibada ya jana.
 
PICHA 4 TUKIWA LIVE NA FATHER RUPIA WA WAPO RADIO SIKU YA JANA LIVING WATER MAKUTI KAWE.



Nikiwa na Father Rupia kikazi siku ya jana Living Water Makuti Kawe.


Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP