Kinacho nivutia mwanza ni ujenzi wa nyumba zake.Karibia nyumba nyingi za Mwanza zimejengwa juu ya Milima na mihamba ya mawe makubwa.
Yapo mambo mengi utayaona kupitia Blog nikiwa Mwanza.Uzuri wa Mwanza unapambwa na Milima mikubwa yenye mawe yaliyo chongoka kama uwonavyo kwa mbali kwenye picha hii.
Uwanja wa mpira ukionekana kwa mbali "ccm kirumba"
Bandari ya Mwanza
0 comments: