Friday, September 28, 2012

ASANTE MDAU NA RAFIKI YANGU WA KARIBU.UISHI MILELE

By Jimmy  |  10:08 AM No comments

Naomba nitoe shukrani kwa wafatao kuniwezesha kupata Nguzo ya siku/Neno la siku kupitia madhabau hii ya Blog.Shukrani hizi zimfikie MATENDO ANDREW wa Zanzibar,CELINE na GRACE.Mungu awabariki na muishi milele.Grace asante kwa ushauri wako mzuri,nimeupokea nitaufanyia kazi. 
 Kama na wewe unapenda kunipatia Neno la siku kutoka katika Biblia ingia kwenye kisanduku kilichopo pembeni mwa Blog upande wa kushoto kinachoitwa (Lets Chart Here)
Rafiki yangu wa karibu.One love barikiwa.

 Chini ya kisanduku hicho utaona sehemu yakuandika jina lako na ujumbe wako.Au tumia hiyo namba hapo juu (0713-763939) nitumie andiko lako na jina lako kamili.Rafiki yangu wa karibu nitafurahi tukishirikiana katika hili na Mungu akubariki.

Angalizo-Vigezo na Masharti avizingatiwi tuma uwezavyo nami nitafanya.Barikiwa

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP