Friday, August 24, 2012

JESSCA KUKULETEA DVD NA AUDIO MWEZI 12 MKOANI MWANZA.

By Jimmy  |  7:24 PM No comments


Anaweza akawa mgeni masikioni mwako lakini nataka kukuambia ni muimbaji anayekuja kwa kasi ya ajabu aliepewa kibali kupitia kazi yake ya uimbaji wa muziki wa injili anaitwa Jessca Julius.Kupitia mawimbi ya Praise Power Radio ametamba na wimbo wake wa "NILIPOTEA DHAMBINI"
Mrembo Jessca akiwa Kampala-Uganda.

Leo kupitia Blog amezungumza nami jinsi alivyo jipanga kuleta mambo mazuri kwa mashabiki wake wa muziki wa injili. Kwa sasa Jessca anamalizia Albamu yake ya Audio na Video yenye nyimbo 7.Albam hii imefanywa katika studio mbalimbali ikiwemo J-Production, Praise Production, na Magic Production.

 Hiki ndicho alichokisema Jesscar alipozungumza nami leo mchana kuhusu kuzindua Albam ya Video na Audio Nilipotea Dhambini kwa wakati mmoja.

Exclusive Uncle Jimmy.

Exclusive Uncle Jimmy. 

Mzigo wa Video ambao utaingia mtaani kwa wakati mmoja ukiambatana na Audio unatarajiwa kuzinduliwa mkoani Mwanza katika Hotel ya Golden Crest.Video hii imetengenezwa katika Madhari ya Mikoa 3 Mwanza,Morogoro,na Lushoto Tanga.
  Akiingiza Sauti katika Studio ya Qn of Sheba iliyoko Sinza.
 Hili ni moja kati ya Magari aliyo tumia kwenye Video yake mpya itakayokuwa mtaani soon.
Mdogo mdogo stepu za Shooting zikiendelea
Jessca akiangalia kazi ya Camer Man Mr Charz.

Moja kati ya wimbo unao tambulisha albam yake ya "Nilipote dhambini" ni huu hapa.
Exclusive Uncle Jimmy.
Moja ya madhari aliyo tumia kufanya Shooting ndani ya uwanja wa ccm Kirumba
Kazi ikiendelea

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP