Siku zote hupenda kusema Mdogo Mdogo ipo siku watatuelewa tu.Baada ya Friends on Friday kutimiza mwaka mmoja na kuikaribisha Sizoni ya pili yenye mambo mengi yatakayokuwa ya kushangaza wengi,siku ya jana katika ukumbi wa Makumbusho ya Kijiji cha Taifa ilikuwa siku ya Friends on Friday Nyama Choma.
Ilikuwa full kutafuna nyama huku ukipata juice ya ukwaju na mazaga zaga kibao.Ukiacha nyama zilizokuwa zimetawala kila kona burudani ilichukua asilimia 100 ikiwa imesimamiwa na Elystone Angai mzee wa Solo na Lyanga George.
Full Samaki wa kawe.
Hii ni Friends on Friday ya kwanza katika Sizoni ya pili katika Kijiji cha Makumbusho.Yako mambo mengi yaliyojiri ila MC pilipili ya Shughuli alifanya watu wengi waumwe matumbo ghalfa baada ya kuonyesha uwezo mkubwa katika kuchekesha na ubunifu wa hali ya juu.
Kitu brauniiiiii
Mdogo Mdogo twende kazi kwenye Picha na tukio nzima la siku ya jana.
Mutu ya mujini Emmanuel Kwayu.
Maa-Mc wa Event Mc pilili na Anton Luvanda.
Uncle Jimmy na Mrembo Sara Shilla.
Jackqueline Moshi.
Picha Tano wakati wazee wa mwendo wakianza tifuatifua FoF Nyama Choma
Elystone Angai huyu mtu anajua anacho kifanya,akili kidogo tuu kila mtu akukaa
Amani Kapama akitomasa kinanda mdogo mdogo.
MARAFIKI MBALIMBALINDANI YA FRIENDS ON FRIDAY
Mc Pilipili akituacha hoi siku ya jana.
Huyu mtu kama angekuwa Ulaya sidhani kama kumpata ingekuwa rahisi.Anajuwa anachokifanya,one love br.Mdogo mdogo watakujua.
MUDA WA CHAKULA UKACHUKUA NAFASI YAKE.USIFANYE MCHEZO NA FOF NYAMA CHOMA.
Samaki wakiwa tayari kuliwa ashiishiiii.
Ulikuwa ukitaka wakavu unapata ukitaka wale laiiiiini wapo yani wewetu.
Kwa wale waliopenda viepe vya amerikani chipsi au kwa Bonge Mikocheni vilikuwepo.
My Yasinta alikuwepo.Asante kwa Salome kufika.
Victor William a.k.a Mzee wa kiroho safii alikuwepo
BAADA YA MATUMBO KUKAA SAWA WAZEE WA MWENDO WAKACHUKUA NAFASI YAO.
Lyanga George akienda sawa usiku wa FoF
Watu weweeeeeee.
Kitu kiduku kwa Kaka Nathan Yamungu kwa mbali Dada Diana akienda sawa.
Blogger Sam Sasali,Sarah Shilla,Blogger James Temu/Uncle Jimmy.
0 comments: