Hakika wema na fadhili tumrudishie Bwana kwa siku nzuri sana katika Huduma ya Uzima Katika Neno iliyopo Mbenzi Malamba Mawili.Siku ya jana kulikuwa na Harambee ya ujenzi wa msingi wa Kanisa linalo ongozwa na Mtume Moses Kingu.
Harambe hiyo iliongozwa na Mke wa Dr Harrison Mwakyembe Waziri wa Uchukuzi {Mama Lina Mwakyembe} ilikuwa ya Baraka tele siku ya jana.Watu wengi walijitokeza kusimama na Huduma hii ya Uzima Katika Neno iliyopo Mbezi Malamba Mawili.
Harambe hiyo iliyokuwa nalengo lakupata Milioni 45 kama awamu ya kwanza ya Ujenzi huwo ilifanikiwa kukusanya Milioni 20 siku ya jana.Mke wa Waziri wa Uchukuzi Mama Lina alisema hakuna faida kubwa ambayo wakristo wengi atuijui kama kumtolea Mungu.
NUKUU-"Mimi na Mume wangu kipenzi Dr Harrison Mwakyembe tulipo pigiwa simu na Mtume Kingu kuwa moja ya wageni katika Harambe hii atukutaka kuleta sababu za kazi bali tulimjibu Moses Kingu tuko tayari kuja kuhakikisha kazi ya Mungu inasonga mbele,hivyo wandugu kutoa kuna baraka nyingi.Mwisho wa kunuku"
Harambe hii ilipambwa na waimbaji Upendo Nkone,Victar Harron,Mathar Mwaipaja,Maximillian Machumu mzee wa Majeshi Majeshi na Bupe Kingu Mke wa Mtume Moses Kingu.
Twende sawa na Tukio zima la Arambe ya Huduma ya Uzima katika Neno.
Mc wa Arambe Ritha Chuwalo kutoka Wapo Radio akiwa kikazi zaidi.
Burudani ilifunguliwa na Mwaana Mama Upendo Nkone.Kushoto kwake ni Ritha Chuwalo Mtangazaji wa Wapo Radio.
Maelfu ya watu wakienda sawa na Upendo Nkone.
Ikafuata zamu ya Victor mwana wa Harron mzee wa 2x2=4 akifanya kweli.Jina la Albamu yake itakwenda kwa jina hilo {2x2=4}.
Martha Mwaipaja a.k.a Mama Mchungaji akikamua siku ya jana.
Mtume Moses Kingu mbeba Maono ya Huduma ya Huzima Katika Neno akitabasamu wakati anawakaribisha wageni waalikwa.
Meza ya Wageni waalikwa.
Mtume Moses Kingu akiwa na Mgeni rasmi Mama Lina Mke wa Mh Dr Harrison Mwakyembe.
Dada wa Harrison Mwakyembe Lidya alikuwepo.
Glory Msengi mdogo wa Mh Harrison Mwakyembe.
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Bwana Bakari Ally akijitambulisha.
Dada Ruth Kalonga Mweka hazina mkuu wa Huduma ya Huzima Katika Neno akisalimu wageni waalikwa.
Akitabasamu kwa furaha ya picha.
Mke wa Mh.Mwakyembe Mama Lina akiwasalimia watu waliofika siku ya jana.
Lisala ikisomwa kwa Mgeni rasmi Mama Lina aliekuja kwa niaba ya Mume wake Mwakyembe.
Nyuma ya Ritha Chuwalo ni vitu vilivyo pigwa mnada siku ya jana,ikiwemo gari ya Mtume Moses Kingu {Prado}
Dada Suzy akiahidi shilingi Milioni moja kama mchango wa ujenzi wa msingi wa Kanisa la Huzima katika Neno.
Mchungaji Bupe Kingu akipiga Makofi ya furaha kwa Dada Suzy.
Mtangazaji wa Wapo Radio Dada Ritha Chiwalo na pozi la Picha.
Wakiteta jambo Mchungaji Bupe Kingu na Upendo Nkone.
Majembe ya Apostle Kingu Kushoto Peter na wajina James Yona.
Stovia akiwa na Kaka yake Peter.
Apa sijui walikuwa wanasemaje teh teh teh.
Peter na Dada Ritha.
Uncle Jimmy na Dada Ritha Chiwalo,One love.
Watenda kazi wa Huduma ya Uzima katika Neno.
Picha Nne nilizo vutiwa nazo

0 comments: