Friday, March 30, 2012

Jotta Agnus De Mwanamuziki Anayekimbiza Brazil.

By Jimmy  |  7:34 PM No comments

Mwaka 2013 Jina la Jotta Agnus limevuma sana Duniani baada ya kijana huyu kufanya vizuri katika Mashindano Ya Kusaka vipaji katika nchi ya Brazil na dogo huyu kufanya vizuri sana.


Jotta Agnus alianza kufanya muziki tangu akiwa na umri mdogo katika nchi hiyo.
Kwa sasa dogo huyo anayesoma High School amekuwa gumzo katika shule. Mashindano hayo yamefanya dogo huyu kuwa maarufu.




Dogo akikamua Hallelujah.

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP