NYOKA {CHATU} ATUMIKA KAMA KIVUTIO CHA [Mwenge Stendi ya Basi}
Wakati serikali na wizara ya Mali yasili na Utali wakisisitiza utali wandani kwa sisi watanzania ambao wengi wao hatuna utaratibu huwo wakutembelea ifadhi za mbuga za wanyama,na matokeo yake ubunifu mdogo uwashika watu kibao.
Leo nikiwa katika arakati zakuwai Ofisini Maeneo ya Mwenge nikakutana na Ubunifu huu wa Promotion za Simu ulio ambatana na onyesho la nyoka ambae alikuwa na urefu wa Mita mbili nanusu.
Nyoka akiwa ameshikwa asiwakaribie watu katika kituo cha Mabasi mwenge.
Watu kibao wakishangaa.
Niko na swali-Je itakapo tokea madhara ya kujeruwiwa mtu na kiumbe hiki,ni hatua gani zitachukuliwa kwa ndugu huyu mwenye nyoka.
AU
Kuna sheria ipi inatumika ya mtu kumiliki Nyoka {Chatu} mwenye ukubwa huu katika mazingira ya jamii.
Waziri husika nisaidie hili.

0 comments: