MUIGIZAJI WA NOLLYWOOD NCHINI NIGERIA {Sam Loco Efe} Afariki Dunia
Mkongwe na Mchekeshaji wa siku nyingi ambae mara nyingi alikuwa akiigiza na AKI na UKWA,amefariki akiwa Hotelini Chumbani kwake alipokuwa ameweka kambi kwajili ya shooting Move.
Sam atakumbukwa kwa Mengi hasa alipo kuwa akifanya Comed nakutumia jina lililo mpa umaarufu {Uncle Sam}
Sam Loco
Uncle Sam amefanya Move nyingi za Comed moja ya Move iliyo mpa umaarufu ni [National Anthem]

0 comments: