Kama utakua mfatiliaji wa muziki wa Gospel Kenya au mdau wa Chomoza ya Clouds TV hutakua mgeni na muimbaji Bahati.Nikijana mdogo kwenye tasnia ya muziki nchini Kenya aliyejipatia umaarufu mkubwa na wimbo wake wa 'BARUA' Siku ya jana katika ukumbi wa NPC VALLEY ROAD ameandika historia
kwa umati wa watu uliojitokeza kushuhudia uzinduzi huo.
Majira ya mchana uzinduzi huo ulianza na kumalizika saa moja usiku na kila aliyefika alikubaliana na kijana Bahati.Twende sawa na matukio ya picha mdau wangu....
Bahati akifanyiwa maombi na Pastor Ababu...
Tazama video ya wimbo wake wa BARUA uliomtangaza vizuri nchini Kenya.
0 comments: