J blessing ni miongoni mwa director wa kubwa nchini Kenya wenye ujuzi mkubwa katika fani ya video production.Wiki mbili zilizopita unclejimmytemu.com iliandika habari ya J blessing kuelekea Marekani kimasomo kwa miezi (2).....Jambo la kufurahisha J Blessing amekutana na Alex wa Kingdom Media kwenye
tuzo za TALANTA AWARDS zilizofanyika siku ya jana.
Kwa mujibu wa CO wa Kingdom Mr Alex amejisikia furaha kukutana na director J blessing mwenye huwezo mkubwa na mwenye jina kubwa nchini Kenya hususani katika utengenezaji wa video za Gospel pamoja na vipindi mbalimbali katika TV za Kenya.Hii ni hatua nzuri kwa wakali hawa kukutana na kupeana mawili matatu ili kukuza muziki wetu ufike mbali...big up Alex.
Kushoto ni CO wa Kingdom Media Alex akiwa na J Blessing Marekani
0 comments: