Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama yenye masikani yake jiji la
Dar….wiki iliyopita ilifunga safari mkoani Mbeya siku ya Ijumaa kwaajili ya
kutoa support ya nguvu ya uzinduzi wa album tatu mpya pamoja na Tovuti ya kwaya
(FOREST).
Uzinduzi huo umefanyika siku ya leo Kanisa la kilutheri
Forest jijini Mbeya na kuudhuriwa na
umati wa watu kutoka kila kona ya jiji la
Mbeya.Uzinduzi huu uliambatana na vikundi mbalimbali kutoka jijini mbeya pamoja
na wazee wa mwendo kutoka Dar Uinjilisti Kijitonyama.Yafatayo ni matukio ya
uzinduzi huo mdau wangu.Enjoy!!
Mchungaji akifanya Uzinduzi siku ya leo
Mchungaji Prospar...Mchungaji msaidizi usharika wa Kijitonyama Dar alikuwepo.
Wa kwanza kushoto ni katibu wa kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama Mr Onai na anayefata kulia na miwani,alimaarufu MC Foma Foma Mwenyekiti wa Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama.
0 comments: