Sunday, November 3, 2013

MAISHA YA MUSIC VIDEO PRODUCER J BLESSING YAMEKUA YAKIFATILIWA NA WAKENYA WENGI.WADAI UZURI WA MKEWE UNAWEZA KUMRUDISHA NYUMA.

By Jimmy  |  11:16 AM No comments

 
Tarehe 16/10/2013 nilifanya maojiano yangu na music video producer J Blessing ambaye aliniambia Mungu amempatia mke mrembo sana mpaka wa kenya wamekua wakifatilia maisha yao.Kupitia mtandao wa nchini kenya entertainment blog umepost picha za J Blessing akiwa ana jinafasi na mkwe.
Wa Kenya wengi wamekua wakifatilia usiano wao kwani mke wa J blessing ajaokoka hivyo wengi wana hisi J blessing ni rahisi kubadilishwa maisha ya wokovu aliokuanao.Tazama picha za beautifu wa J blessing.




Jimmy Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

Related Posts

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By Bloggertheme9