Mh Edward Lowassa amewahutubia waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima
katika Uzinduzi Wa helkopta ya Kuhubiri Injili pamoja kusaidia zoezi la
uokoaji wa majanga mbalimbali kama vile wakati wa Ajali,Mafuriko,Moto
nk.Mh Lowassa amesema
atashirikiana nao na kuhakikisha
wanapata eneo la kudumu la kuabudia.Kwa upande wake Mchungaji Kiongozi wa Kanisa hilo Josephat Gwajima amesema
Mpango wao ifikapo mwezi kama huu mwakani watakuwa wameshaagiza helkpta
nyingine tatu kwa ajili ya kuhubiri injili na kusaidia katika shughuli
za kijamii.

Pastor Deo Lubala akisema neno...
Mchungaji kiongozi wa kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima akisema neno wakati wa ibada ya uzinduzi leo
Mamombi yakifanyika kwenye Helicopter

Picha zote na kijana wa nguvu John Pazia
0 comments: