Askofu Mkuu wa TAG Rev.Dr.Barnabas Mtokambali
amefanya uzinduzi wa Kanisa lenye historia kubwa mkoani Mbeya......
uzinduzi huo umefanyika tarehe 8/10/2014 katika kijiji cha Igale Mbeya,ambapo ndipo chimbuko la kanisa la TAG lilipoanzia mnamo mwaka 1939......Tazama picha za muonekano mpya wa kanisa hilo TAG IGALE Mission
Centre.
Wakati wa Sifa
Muonekano wa Kanisa kwa njee.
Maombi yakichukua nafasi yake.
0 comments: