Baada ya kutamba na wimbo wake 'Ni wewe' Br Joshua ameamua kuja na staili ya tofauti katika wimbo wake mpya alioupa jina (TANZANIA).
Kwa mara ya kwanza kwa hisani ya Unclejimmytemu.com usikilize hapo kisha niachia maoni yako mdau wangu.Enjoy!!
Zifatazo ni picha akiwa mchini Germany miaka 7 iliyopita....
Gunterod,,Germany..
Enzi zake......!!
0 comments: