Muziki wa injili Tanzania unazidi kukua na kupanuka kwa wigo wake ukiacha miaka kadhaa hapo nyuma.Mwanamzuiki
wa Injili Milka Kakete ambaye alijipatia ushindi katika mashindano ya
kimataifa ya muziki wa Injili yaliofanyika katika jiji la Maryland na
Milka Kakete ambaye ni Mtanzania anayeishi
Canada aliibuka mshindi katika mashindno yaliojumuisha wanamuziki wa Injili kutoka nchi mbali mbali za Afrika.
Canada aliibuka mshindi katika mashindno yaliojumuisha wanamuziki wa Injili kutoka nchi mbali mbali za Afrika.
Hii ni sehemu ya mahojiano na kituo kikubwa cha Radio kilichopo Marekani VOA baada ya kupata ushindi huo.
0 comments: