Monday, November 10, 2014

R.I.P DR. MYLES MONROE and UR WIFE RUTH.

By Jimmy  |  8:14 AM No comments

 Dr Myles Munroe na Mke wake Ruth wamefariki Dunia.....Taarifa zilizo tufikia Unclejimmytemu.com zinasema kua Dr Myle pamoja Mke wake Ruth wamefariki Dunia kwenye plan Crash wakiwa wanashuka uwanja wa ndege wa Grand Bahama walipokua wakielekea kwenye huduma,chanzo cha habari kimesema.
Kwa mujibu wa chazo hiko kinasema kua
Dr.Myles kuanzia siku ya leo ilikuwa awe na Global Leadership Forum kwa muda wa siku 3 kuongea na watu mbalimbali kwenye Kongamano kubwa kwenye nchi aliyozaliwa.
Tarehe 21 Oktoba Dr Munroe alikuwa Dar es Salaam ambako alifanya Leadership Seminar kwa siku 1 kwenye Hotel ya Serena na kisha kuelekea nchi ya Kenya.
Hakika Dunia imepata pigo kubwa kuondokewa na Inspirational Speakers mahiri sana duniani na vitabu vyake vimesaidia watu wengi kwenye angle ya Leadership kwenye Corporate na Individual Level.Mpaka mauti ilipo mkuta Dr Myles Munroe ameandika vitabu 69 R.I.P Dr Munroe



Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP